karibu

aisha

printers

classic

Tuesday, October 2, 2012

BASI LA DAR EXPRESS LAUNGUA MOTO SEGERA









Basi la kampuni ya Dar Express lililokuwa linafanya safiri zake Arusha – Dar es Salaam limeteketea kwa moto mchana huu maeneo ya Segera mkoani Tanga.
Mpaka sasa hakuna taarifa za Majeruhi au watu waliokufa katika tukio hilo. Kwa habari zaidi endelea kuperuzi blog hii.
http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2012/10/388888_10151080683392475_1099244016_n.jpg 

No comments:

Post a Comment