karibu

aisha

printers

classic

Tuesday, January 1, 2013

SAJUKI AFARIKI DUNIA



 Wapenzi wa filamu kwa ujumla wameanza mwaka kwa pigo jingine tena kwa kuamka asubuhi hii na taarifa za kusikitisha kuwa msanii ambaye amekuwa na matatizo ya afya kwa muda mrefu na katika kipindi cha siku za karibuni kuwa ICU Muhimbili, Sadick Juma Kilowoko aliyejulikana zaidi kama Sajuko amefariki dunia.
Mungu amlaze peponi pema Amina




 

No comments:

Post a Comment